DAR ES SALAAM: Ubunifu wa Saratani AI na Dawa Mkononi ni miongoni mwa miradi iliyoanzia katika tukio la Winning Line Academic ...
Dk. Samia amesema kila mwaka nchi za Afrika hutumia kati ya dola za Marekani bilioni 70 hadi 100 kuagiza bidhaa za chakula, ...
TABORA: Utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha kutoka Makutopora – Tabora unatarajiwa kukamilika ...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Misri zimekubaliana kuimarisha ...
Serikali imetakiwa kuimarisha ushirikiano na taasisi zinazoongozwa na vijana ili kuongeza fursa za ajira, kukuza vipaji vya ...
IRINGA: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Kasesela, amesema CCM itaendelea ...
ARUSHA: Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Delilah Kimambo, amesema kuwa wagonjwa 9,507 tayari ...
ARUSHA: Ongezeko la idadi ya wagonjwa katika kambi ya matibabu iliyoratibiwa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni ...
IRINGA: Mkoa wa Iringa umeingia katika mwaka wa kwanza wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025–2030 ukiwa na taswira ...
MOROGORO: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimepongeza Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta ya Binafsi (PPPC) ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, amewataka wahitimu wa Taasisi ya Teknolojia ya ...
TANGA: JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga limeendelea kudhibiti vitendo vya uhalifu, baada ya kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 200 ...