Swala ni nguzo ya pili ya Uislamu na ni wajibu kwa kila Muislamu mwenye akili timamu kutekeleza swala tano za kila siku.