Mswada kuhusu mabadiliko katika sekta ya elimu ya juu humu nchini ambao umeidhinishwa na baraza la mawaziri huku ukisubiri hatma ya wabunge umeibua hisia mseto miongoni mwa wadau katika sekta ya elimu ...
‎ ‎ ‎ ‎Halmashauri 76 katika mikoa 10 nchini zinaanza rasmi kutekeleza elimu ya stadi za maisha mashuleni kupitia kitabu cha “Dunia Yangu Bora” kilichopata ithibati ya Serikali, ikiwa ni hatua ya ...
WATAALAMU wa wanyamapori wameonya kuhusu nyoka aina ya ‘Red Spitting Cobra’ (swila mwekundu) wanaotema sumu, na kuripotiwa kusababisha visa vingi vya kung’atwa kwa binadamu na wanyama wa kufugwa.