Tunatumia zana zinazopatikana kufuatilia safari za ndege kama Flightradar24 ili kuangalia mienendo ya hivi punde ya ndege za kijeshi za Marekani huku Washington ikiendelea kuimarisha vikosi vyake ...
Askofu mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Tanzania. Mazishi yake yatafanyika baada ya kukamilika ...
Kila wimbi jipya la mvutano kati ya Tehran na Washington huibua swali lilelile: iwapo mgogoro huo utageuka kuwa vita vya wazi, Beijing na Moscow zitachukua msimamo gani? Je, Iran inaweza kutegemea ...